Tuesday, September 22, 2009

LONDON FASHION WEEK INAENDELEA SPRING/SUMMER 2010

2 comments:

Koero Mkundi said...

WACHA WEEE.....KAAAZI KWELI KWELI..DADA JE VIVAZI HIVI VYAPATIKANA KWAKO?

PASSION4FASHION.TZ said...

Koero vivazi hivi kwa sasa ni sample,wanaonyesha nini kitakuwa madukani baada ya miezi 6,kwasasa havipo madukani ila zinauzwa kwasasa kama sale baada ya maonyesho,unaweza kununua online pia ila sina hakika kwa mtu alieko bongo kama wanaweza kumuuzia.Ila vikianza kuingia tu madukani na mimi nitazileta kwangu,usikonde.