
Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
1 year ago
6 comments:
Wale wakali wa Machozi Band, tafuteni stayle za usiku wa Dhahabu
MAMBO HAYOOO
disminder
Hapo umesema wangu,dhahabu haidanganyi,haimtupi mtu hata siku moja,inapendeza sana,saaaana!
Weeeh usipime!!
Ningekuwa Dar na jinsi ninavyopenda dhahabu?????
NINGEWASHIKAAAAAAAAAAAAAAAA
hahahahahahah
disminder
Mie hapo mbavu sina,nasubiri lift ya ungo wa bibi Dua,namie nidandie hahaahahahaaaaaa!
hahahahah Bibi dua atafurahi kupata wadau zaidi katika ulimwengu wa tekenolojiaaaaaaaa
Week end njema kwa wote.
Eid Mubarakh kwa wote.
Tushereheke kwa Amani.
disminder
Hiyo imetulia wangu,tumechoka na haya mambo yao yakuku scan,ukiingia na ukitoka,hiyo ya bibi Dua imetulia wewe wafunga tela tu,ukifumbua macho umefika hahahaaaa! usiniambie kumbe kuna Eddi?nilizani ni weekend tu,asante mpenzi na wewe pia.
Post a Comment