Tuesday, November 24, 2009

Beautiful bustier dress wether it a special occasion or just a night.














3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Naona rangi hii ya zambarau ni yake mwisho mwisho wa mwaka huu kwani kila duka nikipita ni rangi hiyo tu hata rangi ya kucha pia.

PASSION4FASHION.TZ said...

Yeah,it's nice colour

Anonymous said...

Wataalamu wa Rangi wanakwambia hii ni rangi ya bahati, tena hasa kwa wale wa nyota ya SAMAKI.

Na pia ni rangi ya biashara kwani imetulia lakini ina mvuto wa pekeeeeee.

Inakwenda na rangi yeyote ilimradi ujue kuichanganya, lakini weka na dhahabu uone!!!!!!!!!!!

disminder.