Sunday, September 28, 2008

U LOOK U LIKE U BUY... WOW!

Here is a gorgeous top and skirt to fit UK size 12/14 great for the office, haya mashost mapigo hayo.

4 comments:

Anonymous said...

Samahani dada umeleta mzigo mwingine?Maana nilikuja hapo 1st sept sikupata nilichokuwa nataka nashangaa sasa naona mapigo ya nguvu kwa blog yako maana nilisafiri kwenda mkoa net slow pic zilikuwa hazionekani.Nisaidie tafadhali

PASSION4FASHION.TZ said...

Hello mpenzi wangu,yes nimeleta mzigo mwingine ulifika last week,lakini 75% nimeuza jumla,kuna wateja wamekwenda kununua jumla wewe unavaa size gani? kama hizo nimepost jana ni size yako basi wahi mpigie Paschalia akuwekee maana huo mzigo kidogo uliobakia ndio unapangwa leo dukani,na hizo hapo nauhakika zipo wahi dukani au mpigie simu au nijurishe mimi kwa email.Kwasasa naandaa mzigo mwingine ili nitume mwezi ujao lakini nenda dukani huwezi kukosa kwasababu karibu vitu vyote ni vizuri tu.Karibu sana.

Anonymous said...

Nasukuru kwa kunijibu.
Bahati mbaya sitapata nafasi kwenda dukani leo labda kesho au keshokutwa.Nitashukuru kama utakapoleta mzigo next month utuambie

PASSION4FASHION.TZ said...

Sawa shost,taarifa utaipata hapa hap,karibu saaana.