we dada wewe huu sasa uchokozi yaani nilipofungua tu hapa kibarazani kila niendeleapo kupekua kamoyo kanafanya duk, duk, duk...vitu vinavyopendeza nimekapenda hako kagauni kajini au sijui nisema la tatu kutoka mwishoni:-)
Kwöli hilo ni tatizo maana ukiendekeza utataka kila jumapili gauni mpya na hapa kwa mtindo huo basi hutakula na bili ya nyumba haitalipwa....kaaaazi kwelikweli
we dada wewe huu sasa uchokozi yaani nilipofungua tu hapa kibarazani kila niendeleapo kupekua kamoyo kanafanya duk, duk, duk...vitu vinavyopendeza nimekapenda hako kagauni kajini au sijui nisema la tatu kutoka mwishoni:-)
ReplyDeleteHahahahhaaa...duk! duk! duk! duk!yaani Yasinta umenichekesha sana,hako kamoyo kanavyodukua duk!duk!duk!hako kagauni kako bombi kweli, kweli, hizi fashion ukiziendekeza bwana tatizo kila kukicha kuna mpya.
ReplyDeleteKwöli hilo ni tatizo maana ukiendekeza utataka kila jumapili gauni mpya na hapa kwa mtindo huo basi hutakula na bili ya nyumba haitalipwa....kaaaazi kwelikweli
ReplyDelete