Wednesday, May 18, 2011

Handbags

3 comments:

  1. Juzi begi nyingine leo tena begi mpya sasa hapa kaaazi ipi hata kuchagua kwa sisi ambao ni wagumu itakuwa kazi ...ila hiyo ya kwanza imekaa bambiiiii kweli:-)

    ReplyDelete
  2. UNGEWEKA BEI KUTUSAIDIA KUZICHANGA PLEASE

    ReplyDelete
  3. Muda mpenzi wangu,nakimbizana na muda, wewe niulize ipi umeipenda nitakupa bei yake,niko busy sana mpenzi hata mimi napenda iwe hivyo samahani kwa usubumbufu chagua uliyopenda niulize bei nitakupa.
    karibu sana.

    ReplyDelete