Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
1 year ago
3 comments:
Duh! kila ninapoendelea kubonyeza panazidi kuwa pazuri tu nimeishia kuguna guna tu mwenzenu.
Lol!.........nimecheka sana umeishia kuguna guna tu?mimi nimeishia kuvuta pumzi tuu.
Mapigo ya summer hayo sijui summer yenyewe itakuwepo au miyeyusho tu.
Dada ni hapa ndo pakujiuliza maana hali hii mweh!!
Post a Comment