Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
1 year ago
2 comments:
Vya zamani kwa kweli vilikuwa vizuri na sasa vinarudi safi sana!!
Ndio maana watu husema yakale dhahabu,nikweli kabisa mmmmh! ila kuna kipindi cha mcharuko huwa naona picha za waschana wa wakati huo walikuwa wana vaa min hizo za ncha ya makalio na suluali unaambiwa ilikuwa mtu akitaka kuvaa lazima alale kitandani wenyewe wanasema zilikuwa zinaitwa chupa,ama kweli kila watu na style zao.
Post a Comment