Wednesday, October 6, 2010

PARIS FASHION WEEK SPRING/SUMMER 2011
















2 comments:

Faith S Hilary said...

Unajua kuna nguo kutoka kwenye Runway zinakuwaje sijui yaani just vituko but here, you can wear them anywhere and in different ways especially the outfit on the first picture...plus I see Amber Rose, that dress of hers imemfaa mwenyewe hehe

PASSION4FASHION.TZ said...

Oh wow! Candy1 ndani ya nyumba....nilikummiss ile mbaya hasa kipindi cha THE X-FACTOR.sasa mambo imenoga nazani unajua kinachoendelea kuhusu Gamu.

Haya zawaidi umeleta?au ndio yaleyale umeogopa kubeba ukiogopa kuviacha Heathrow?

Back to the point nakwambia mimi mwenyewe hujiuliza hivi hayo magauni ukivaa mtu kawaida ukakatiza nalo mtaani siutachekesha hata walionuna?Du!ama kweli kila mtu na kazi yake.