Natatumaini kuwa mnaendelea vyema na shughuli za kila siku za kujenga taifa..Jambo la msingi tu kuhusu email hii hi kuwaomba wana blog wenzangu kuweza kunisaidia kuwataarifu wasomaji kupitia blog zenu kuhusu mabadiliko ya blog yangu kutoka www.angaliabongo.co.tz na sasa kuwa www.angalia-bongo.comNatumaini mtaweza kunisaidia kwa hilo.NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI.SARAH.
TUKO PAMOJA MDAU,
KARIBU SANA.
Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
1 year ago
No comments:
Post a Comment