Duh! nusu niyachukua, Jamani magauni mazuri hasa hilo la kwanza nimelipenda kweli.
Maxi ya ukweli hiyo Yasinta,magauni yanaraha yake bwana,hasa ukiyapatia.
Sasa yanapatikana wapi na si wenye size 14 to 16 mamii
Nakupenda unavyotuonyesha vitu vizuri. Ni duka gani dear hapa UK?
Jalala one pamoja na mdau hupo juu asanteni sana,nianze na mdau hapo juu haya magauni yanapatikana DEBENHAMAS hapa UK,na Jalala one wewe uko wapi? uko hapa UK au uko bongo?
Bongo my dia hebu nipe mchongo nami nipendeze
OHkwanza naomba radhi ni Debenhams na sio Debenhamas,haraka nazo wakati mwingine si nzuri nilikosea,samahani sana kwa usumbufu.Jalala one kama unahitaji maelekezo zaidi niandikie kwenye email,nitakupa maelekezo yote utayohitaji shost.
Duh! nusu niyachukua, Jamani magauni mazuri hasa hilo la kwanza nimelipenda kweli.
ReplyDeleteMaxi ya ukweli hiyo Yasinta,magauni yanaraha yake bwana,hasa ukiyapatia.
ReplyDeleteSasa yanapatikana wapi na si wenye size 14 to 16 mamii
ReplyDeleteNakupenda unavyotuonyesha vitu vizuri. Ni duka gani dear hapa UK?
ReplyDeleteJalala one pamoja na mdau hupo juu asanteni sana,nianze na mdau hapo juu haya magauni yanapatikana DEBENHAMAS hapa UK,na Jalala one wewe uko wapi? uko hapa UK au uko bongo?
ReplyDeleteBongo my dia hebu nipe mchongo nami nipendeze
ReplyDeleteOHkwanza naomba radhi ni Debenhams na sio Debenhamas,haraka nazo wakati mwingine si nzuri nilikosea,samahani sana kwa usumbufu.
ReplyDeleteJalala one kama unahitaji maelekezo zaidi niandikie kwenye email,nitakupa maelekezo yote utayohitaji shost.