Wednesday, December 2, 2009

More fashion dressed at 'Up In the Air' Premiere













5 comments:

Anonymous said...

Hello.

Nimependa nguo lakini inang'aa nataka kumnunulia girlfriend wangu avae katika party ya Jide, vipi imetulia au nimnunulie nguo nyingine tu? Lakini hii ndiyo first choice.

Asante.

Anonymous said...

PLEASE NISAIDIE NIKO SAHIHI AU?
nataka nimfanyie suprise ya nguo nitaka ushauri tafadhali

PASSION4FASHION.TZ said...

Good choice huko kung'aa ndio fashion kwasasa ndio nguo zinazovaliwa saana,mnunulie tu nahisi atafurahi sana.
Asante.

PASSION4FASHION.TZ said...

Yes kaka uko sahihi,mfanyie tu wala usihofu siwezi kukudanganya ni nzuri sana.

Anonymous said...

Asante sana. Siku njema.