Wednesday, November 25, 2009

SHILPA SHETTY THROWS ONOTHER WEDDING PARTY AS SHE GLITTERS IN GOLD SARI











6 comments:

  1. Wale wakali wa Machozi Band, tafuteni stayle za usiku wa Dhahabu
    MAMBO HAYOOO

    disminder

    ReplyDelete
  2. Hapo umesema wangu,dhahabu haidanganyi,haimtupi mtu hata siku moja,inapendeza sana,saaaana!

    ReplyDelete
  3. Weeeh usipime!!
    Ningekuwa Dar na jinsi ninavyopenda dhahabu?????
    NINGEWASHIKAAAAAAAAAAAAAAAA
    hahahahahahah

    disminder

    ReplyDelete
  4. Mie hapo mbavu sina,nasubiri lift ya ungo wa bibi Dua,namie nidandie hahaahahahaaaaaa!

    ReplyDelete
  5. hahahahah Bibi dua atafurahi kupata wadau zaidi katika ulimwengu wa tekenolojiaaaaaaaa

    Week end njema kwa wote.
    Eid Mubarakh kwa wote.
    Tushereheke kwa Amani.

    disminder

    ReplyDelete
  6. Hiyo imetulia wangu,tumechoka na haya mambo yao yakuku scan,ukiingia na ukitoka,hiyo ya bibi Dua imetulia wewe wafunga tela tu,ukifumbua macho umefika hahahaaaa! usiniambie kumbe kuna Eddi?nilizani ni weekend tu,asante mpenzi na wewe pia.

    ReplyDelete