Nimepita hapa kibarazani kwako kujitambulisha kuwa nimefungua kijibaraza changu kitakachokuwa kikijihusisha zaidi na masuala ya vijana. Nimekuwa ni msomaji wa blog yako kwa muda mrefu, na sasa nimeamua na mimi nijitose uwanjani ili kuongeza mchango katika kuielimisha jamii. Niko tayari kuelimishwa na kukosolewa pale nitakapoonekana natoka nje ya mstari. Natarajia ushirikiano wako.
Digna karibu sana mpenzi, nakukaribisha kwa mikono yote,ila ndio kama ujuavyo kibarazani hapakosi vijimambo,wapo watakao kupa ushauri na mawazo mazuri, wapo watakao kuponda pia lakini zote hizo ni changamoto dada.
Naomba unipe jina la hiyo blog yako ili niweze kukutembelea,nashukuru kwa taarifa karibu sana kibarazani.
Habari za hapa.
ReplyDeleteNimepita hapa kibarazani kwako kujitambulisha kuwa nimefungua kijibaraza changu kitakachokuwa kikijihusisha zaidi na masuala ya vijana.
Nimekuwa ni msomaji wa blog yako kwa muda mrefu, na sasa nimeamua na mimi nijitose uwanjani ili kuongeza mchango katika kuielimisha jamii.
Niko tayari kuelimishwa na kukosolewa pale nitakapoonekana natoka nje ya mstari.
Natarajia ushirikiano wako.
Digna
inapendeza sana na imetulia kazi nzuri dadangu.
ReplyDeleteDigna karibu sana mpenzi, nakukaribisha kwa mikono yote,ila ndio kama ujuavyo kibarazani hapakosi vijimambo,wapo watakao kupa ushauri na mawazo mazuri, wapo watakao kuponda pia lakini zote hizo ni changamoto dada.
ReplyDeleteNaomba unipe jina la hiyo blog yako ili niweze kukutembelea,nashukuru kwa taarifa karibu sana kibarazani.
Yasinta mpenzi asante sana.