
Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
2 years ago

4 comments:
napenda nikupe pongezi sana je ziko za watoto wenye umri wa miaka 5 wa kike na viatu nataka kuja kufanya shopping for the coming holiday dear thanks
Oh, asante sana mpenzi kwa pongezi,pia asante sana kwa kutembelea blog yangu, sasa kuhusu nguo za huyo miss Tz wa mwaka 2020 nimecheki na dukani size yake zimekwisha lakini usikonde tayarisha tu hayo mapene mzigo mwingine uko njiani utakuwa dukani after two weeks, viatu mrembo anavaa size gani?haya mpe hi! huyo mrembo wetu.
asante sana kwa ushirikiano wako ila huo mzigo mpya ukiingia tu plse tufahamishe tuje size sina uhakika mpaka nicheck thanks have anice day!
Nashukuru sana,wala usihofu tutafahamishana,ila kwa viatu ningeomba ukacheck ili nijue mrembo wetu atoke ki uhakika na hawa wasasa wanavyojua ku pause...we acha tu.
Post a Comment