Monday, August 29, 2011

Notting Hill Carnival hundreds of thousands on the streets today!























2 comments:

emu-three said...

Duuh, mnasemaje, hizi je sio ndio tamaduni zetu? Nenda huko bondeni utaona hivihivi...kuna jamaa aliniuliza kuwa tunadai kuvaa nguo nusu uchi sio utamaduni wa mwafrika, je hii je?

PASSION4FASHION.TZ said...

Bora nawe umesema,hayo ndio mavazi yetu hasa ya asili haya mengine tumeiga tu.Inapendeza sana na waafrika walivyoumbika vizuri acha bana!