Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
1 year ago
3 comments:
we dada wewe huu sasa uchokozi yaani nilipofungua tu hapa kibarazani kila niendeleapo kupekua kamoyo kanafanya duk, duk, duk...vitu vinavyopendeza nimekapenda hako kagauni kajini au sijui nisema la tatu kutoka mwishoni:-)
Hahahahhaaa...duk! duk! duk! duk!yaani Yasinta umenichekesha sana,hako kamoyo kanavyodukua duk!duk!duk!hako kagauni kako bombi kweli, kweli, hizi fashion ukiziendekeza bwana tatizo kila kukicha kuna mpya.
Kwöli hilo ni tatizo maana ukiendekeza utataka kila jumapili gauni mpya na hapa kwa mtindo huo basi hutakula na bili ya nyumba haitalipwa....kaaaazi kwelikweli
Post a Comment