Saturday, December 25, 2010

MERRY CHRISTMAS EVERY ONE.........




















8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mmmhh! zawadi hizo nimezikosa...LOL kheri ya krismasi nanyi pia wote katika nyumba yenu na amani na upendo utawala.

PASSION4FASHION.TZ said...

Bora wewe uliezikosa kuliko mimi zimenikosesha usingizi,watoto hawakulala tumeamshwa saa 3AM,eti wanataka kuanza kufungua zawadi.....lol! naunajua usingizi wamuda huo ulivyo,utoto raha sana wao wanawaza zawadi tuu! mengine kazi kwenu.

Haya mpenzi na nyinyi pia tunamshukuru mungu tumefika salama,kazi sasa kuumaliza mwaka,tumuombe mungu atusimamie.

Faith S Hilary said...

Hahahha 3am for gifts lol! I love that and those gifts gosh gosh! I want I want!!!! Merry Christmas dear :-)

PASSION4FASHION.TZ said...

Yeah! they was so excited, thanx God it's over now.....lol.Merry to you too my luv,i hope Santa lands at your house when you're sleeping.....hahahaaa!

mumyhery said...

Merry chrisrmas to you!!!

PASSION4FASHION.TZ said...

Thanx my dear.

Anonymous said...

Merry Xmass!! Is that your son? he z so cuutee.... mbona ww umekata pic yako jaman?? m a big fan of yo blog yet 2 visit yo shop hapo sinza mamii...
all da best!

PASSION4FASHION.TZ said...

Yes dear,he is my son thank you so much,hahahaaa hao ni mabint zangu sio mimi,hawapendi kuuza sura...lol,oh jamani kumbe wewe ni fan wa Passion4fashion...karibu sana mpenzi.