Tuesday, November 23, 2010

Fashion Disaster



7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mweh! ha ha ha ha, hakika fasheni hizi kaaazi kweli kweli!!!

Mzee wa Changamoto said...

Ama kweli UKITAKA YA UVUNGUNI....
Duh!!!!!

HEAVEN HELP US ALL

Simon Kitururu said...

Naimajini hii ikimtokea Mdada katika soko fulani BONGO, hiyo miluzi na.....

Faith S Hilary said...

Absolutely a massive fashion disaster! Who is this..tried to guess but can't..

Unknown said...

Nimechekaje? we mtundu sana.
Inabidi tuwe makini sana na fashion nyingine jamani. Lol!! pole zake bi dada

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Sisi ni wanyama na matendo kama haya huwa hayanishangazi. Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini kati ya wanyama wote sisi tu ndiyo tunavaa nguo ili kuficha utupu wetu? Ni kwa vile tuna akili? Ni kwa vile tumeumbwa kwa mfano wa Mungu? Ni kwa vile wazazi wetu wa kwanza Adamu na Eva waliasi na ghafla wakajiona wako uchi mpaka wakakimbilia majali ili kuficha aibu yao? Ati, ni kwa nini tunavaa nguo???

PASSION4FASHION.TZ said...

Hizi fashion watu lazima tuwe waangalifu na tunachovaa na kulingana na tamaduni zetu....kwa wenzetu sikitu cha ajabu sana kuona hivyo ila kwetu sisi kama ulivyosema Simon ni hatari wahuni wanaweza kukufanyia chochote ukaja kujuta maishani mwako.

Uvaaji wa hizi legging sio vibaya ila unachovalia ndio muhimu sana hakikisha unavaa na kitu kitachofunika makalio yako na si kinachoishia juu ya makalio au kati kati ya makalio.

Candy huyo ni PARIS Hilton.