Tuesday, August 31, 2010

Wedding & evening party dresses....shost ulietaka idea














Shost nazani kati ya hizi zote utaweza kupata idea, kwakuwa wewe unapenda trouser and short dresses hizo zinapendeza kwa high heel shoes....hata trouser for special Occasion & evening wear my dear killer heel ndio haswa!

Kwa upande wa handbag shost for wedding party ni clutch bag,wajanja wanaviita vipima joto!!!

Karibu sana,zaidi nitajaribu kuweka kesho pia nikipata muda, all the best.

No comments: