
Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
1 year ago
7 comments:
thats soo cute
Yes she's very cute!!love u Tamara
xxxxxxxxxx.
Mwanangu Tamara umependeza kweli. HONGERA KWA KUPATA communio duh! mimi nilipata zamani. Salam kutoka kwa mama mdogo Sweden. Na wengine wote mmependeza sana.
Hongera Tamara. Da'Schola ni nani huyu mwanao au? Kazuri duh!
Stay blessed all.
Wow she looks fab.
Jamani Mungu akuongezee na akuepushe na mabaya ya ulimwengu
Tamara hongera sana kwa kupata communio
Asanteni wote,Yasinta,Tweet na mumyhery, Tamara kapata salam zake,kiswahili kinapanda kidogo ila kwenye kukisoma mmmh!hakipandi,
Da'Mija Tamara ni mtoto wa niece wangu(mtoto wa kaka yangu)karibuni sana.
Post a Comment