Friday, April 9, 2010

HERE COME`S THE GIRLS ENJOYING THE SUNSHINE WITH BRIGHT COLOUR OUTIFITS.


















4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

ni kweli sasa unaona watu wanajitokeza nje .... maana mizi hii sita iliyopita ulikuwa huoni mtu na ukiona unaona amevaa makoti mazito.

PASSION4FASHION.TZ said...

Mmmh! hata hivyo mimi nawashangaa baridi bado inapuliza watu bado wanatoka na makoti,huku kwetu ni jana na leo ndio kidogo kulikuwa na kijua,lakini ukitoka lazima utoke na koti au kama ni jumper basi zito.
Wataalam wa hali ya hewa wanasema summer ya mwaka huu usicheze mbali na koti na mwamvuli wako.

Disminder orig baby said...

Poleni sana, sisi huku ni full kujiachia Mungu ametupa neema ya jua kwa sana tu.

PASSION4FASHION.TZ said...

Asante na hongera sana kwa full jua,ungejua watu tunavyo limmiss hilo jua,we acha tu.