Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
1 year ago
3 comments:
for some reasons I love looking at wedding dresses then trying to see which one appeals me more...hahahhaa nafikiria yote haya na hata mchumba sina...I am just saying! lol ila age kama yangu si mtu una "dream" tu hufanyi lolote mpaka ukiamua heh...so great dresses!
bahati mbaya au nzuri nimeshafunga ndoa tayari!!! Candy ! labda ni mudfa wake ndo maana unapenda kuangalia:-)
Candy hahahaa!umenichekesha sana,usijali ukiona hivyo mchumba yuko njiani,siumeona mwenyewe ujumbe ulitumiwa na mzee wa macharanga,nimeusoma nimecheka sana yaani hata mimi namsuport,viteenagers hapa vinajifanya vinajua kila kitu,vibishi na havitaki kuwa under control,ila wewe naona ni mtoto mzuri eti eeh?keep looking one day your dream 'll come true!!
Yasinta kurudia imo,usikonde wala nini,unaweza kurudia tena.
Post a Comment