Friday, March 12, 2010

Kitenge in max dress.



3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Si unaona tunaweza kufanya na mengi na vitenge vyetu lakini watu wanadharau. Nimelipenda hili gauni maana ni bomba kweli.

mumyhery said...

mwanangu kitenge kimetulia!!!

PASSION4FASHION.TZ said...

Yasinta wala usikonde mtaalam wa vitenge na khanga bi Mariam kazi anaiweza,wewe ongea nae tu,hata sisi tunaweza ila tunakasumba ya kuzarau vya kwetu ni mpaka tuone mgeni kapenda ndio nasisi tunaiga,hata mimi nimekipenda sana hasa kilivyochanganywa rangi,kwa huku majuu bei haikamatiki kwa bongo utapata nguo 3 kwa moja.