Wednesday, March 24, 2010





5 comments:

Anonymous said...

Sasa kabati navunja natoa kila kitu. Very nice dada.
keep it up.


disminder.

Jalala One said...

Jamani siamini nikija nitavikuta mi navaa suruali size 14 au 44 maana suruali za kichina size zikiandikwa ukivaa zinabana

PASSION4FASHION.TZ said...

Oh! thanx Disminder,hilo kabati vunja kabisa,usihofu mimi nitakusaidia kulipanga upyaa!nakwambia kila unachokiona kinavutia,ubaya wa huku muda wa kuvaa vyote hivyo ni miezi 3 tu,unarudi kwenye za baridi.Mambo yote bongo kila siku ni summer!

Jalala One wala usikonde hizi bado hazijaingia dukani kwangu bado ndio nafanya collection,uzuri nimefahamu size yako ,ila ingekuwa vizuri ukiniandikia Email ili mzigo ukifika niweze kukutafuta.

Matatizo ya size wakati mwingine inategemea na designer,nikweli huwa sinasumbua wakati mwingine, karibu sana.

Jalala One said...

Thanks mamii for your rapid response may mail is samsindima@yahoo.co.uk

PASSION4FASHION.TZ said...

Thanx xoxo!