Friday, January 15, 2010

SPRING FASHION IT'S JUST AROND THE CORNER,I LOVE THIS DRESS'S









2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mara hii sasa jamani tutavaaje magauni hayo na theluji hii. Ok yametulia ila mie hiyo rangi ya bluu si yangu .

PASSION4FASHION.TZ said...

Nakwambia wanatutega hawa,na winter ya mwaka wataalam wa hali ya hewa wanasema itakuwa mpaka April.
Lakini watu wanayavaa pamoja na winter labda ni sisi tu ndio tunaogopa.