
Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
2 years ago










5 comments:
kwa kweli nguo za watoto ni nzuri sana. kiasi kwamba zinanifanya nitamani kuwa na kachanga tena :-)
Hahahaa,Yasinta umenichekesha sio wewe peke yako, wengi wanatamani vinguo vizuri sana kwa kweli,kazi kwa wazazi washindwe wao tu.
ha ha haa kwa kweli itabidi nichacharike kushika mimba maaana mh nguo ni nzr saaaaaaaaana
Hakika nguo ni nzuri,zinavutia sana mngetuwekea basi na bei jamani,kwa uzuri nguo ni nzuri sana,tena sanaa,hongera sana zinavuta hisia za kupata mtoto mchanga.ha ha ha ha ha!
Hutu tu nguo mbona tuzuri sana bei inasemaje?
Post a Comment