Wednesday, April 29, 2009

BLACK FLORAL SHELL TOP AND STITCH DETAIL LINEN SUIT SKIRT.


3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Wow kabegi kazuri kwani begi nyeusi ni nzuri kwa vile unaweza kutumia na nguo ya rangi yoyote ile.

PASSION4FASHION.TZ said...

Yasinta nakujua ulivyo mpenzi wa handbag,nyeusi ni rangi nzuri sana.

Yasinta Ngonyani said...

Yah, dadangu yaani ungejua ni mpenzi mno ila basi si kwani mwisho itabidi nijenge chumba kimoja zaidi kwa ajili ya hizo handbag:-)