Sunday, April 26, 2009


3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kagauni kazuri na hicho kiatu au nisema ni seti nzima. na sasa ndo joto linaanza basimagauni yanahitajika

PASSION4FASHION.TZ said...

Nakwamba summer ina mambo,ukienda madukani kila kitu unakitamani nguo ni nzuri sana,ila muda wa kuzivaa ndio kidogo sana,unavaa nguo mara moja kabla hujaivaa kwa mara ya pili summer imekwisha, next summer new fashion, kaazi kweli kweli.

Yasinta Ngonyani said...

Yah, kaaziii kwelikweliiii