
Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
2 years ago

2 comments:
Mbona unawashubdanisha watu wawili wenye mavazi tofauti?
Swali lako zuri sana,nikweli ni watu wenye mavazi tofauti na muonekano tofauti,sababu kubwa navutiwa na mavazi yao wote wawili na pia nimejaribu kulinganisha thamani ya mavazi anayovaa Mitchelle Obama na thamani ya mavazi anayovaa Salma Kikwete,tofauti ni kubwa sana thamani ya vazi moja la Mitchelle ni sawa na vitenge 5 mpaka 10 vya Salma Kikwete na anaonekana anapendeza zaidi,ni mavazi ambayo hata mwanamke wa hali ya chini Mtanzania anayavaa kwangu naona ni mfano wa kuigwa,tupende chetu sio kila kitu tunaiga kwa wenzetu.
Post a Comment