Wednesday, October 15, 2008


5 comments:

Anonymous said...

mambo hiki kiatu kipo dukani? size?
asante

PASSION4FASHION.TZ said...

Hello,mambo poa tu hiki kiatu kilikuwepo kikaisha lakini wengi walikipenda kitakuwepo tena dukani siku si nyingi na nimebakia na size 2 tu size 6 na 7 nyingine tayari zina order.
asante na karibu sana.

Anonymous said...

oohh sawa mm naomba size 7 dear hivi size 7 ya wapi

PASSION4FASHION.TZ said...

Hello, hii size 7 ya UK dear sasa naomba unisaidie kitu kimoja kama utaweza kuniandikia e-mail ili nipate contact zako mzigo ukifika nikufahamishe ukachukue vinginevyo vikiwekwa dukani tu hutavipata,asante sana na karibu.

Anonymous said...

email yangu unayo my dear mm happy