
Darasa 45: Maisha yetu kama zoezi la matofali
-
Darasa linakukumbusha kuwa...… Watu watatu ni mimi na wewe. Watu kumi ni
mimi na wewekwa sababu kuna watu tumesimama nyuma yao. Lakini pia, ni watu
wetu ...
2 years ago

10 comments:
mambo dia hiki kiatu size?? mm china navaa 9 or 91/2
asante
Poa shost,hiki kiatu mpenzi ziko pear 3 kuna moja size 8 UK sasa hiyo nazani ndio size yako kama umekipenda ndio kwanza kinaingia dukani,jipange tu ukiwahi.Karibu sana.
size 7 mpnz je?
hii kiatu mnakiuzaje ndugu yangu?
Size 7 ipo ila kuna mtu alisema kikifika ata angalia urefu wake kama atakimudu,ila kwa size 5 na 6 na 8 zipo zenyewe hazijauzwa, kwa hiyo kama unahitaji wasiliana na mimi kesho au mpigie Paschalia 0754 849283 kama huyo mteja kisipo mfaa ukujurishe ukiwahi wewe.
Hi,anonymous hapo juu kiatu mpenzi tunakiuza 35,000= tu, karibu sana.
nitapita dukani leo jioni my dia hope sitapotea ni barabara ya kwenda namnani si ndio?
Oh mpenzi samahani sana nimechelewa kukujibu nilikuwa busy kidogo ndio ni barabara hiyo hiyo pole sana.
ijumaa nilikuja dukani ila sikukiona hiki kiatu nikamuachia yule dada dukani namba yangu ila kimya mzigo bado haujaingia nini?
Pole sana mpenzi,ila nasikitika sana kuwa kuwa hicho kiatu umekikosa kweli mschana alimpa Paschalia no. yako ya simu akakupigia ukasema sio wewe na viatu alikuwa kaviweka yeye alitaka uhakika kuwa utavichukua ili asiuze lakini anasema hamkuelewana ukamwambia labda mtu mwingine sio wewe basi hakuwa na jinsi kaviuza kwa wateja wa jumla,au hukuelewa Paschalia uliyekuwa ukiongea nae ni nani? tena anasema akakuuliza wewe siulitaka viatu vyeupe? ulikwenda dukani ukaacha no. yako ya simu? ukasema hapana basi vimeuzwa mpenzi labda nikupe maelekezo ya duka vinako kwenda kuuzwa au no. yao ya simu uwasiliane nao lakini bei yao ni tofauti sana na yetu wao wanauza 50,000= mpaka 45,000= au usubiri mzigo ujao nikutafutie kama sio hicho angalau kitakacho fanana na hicho au kizuri zaidi ya hicho.
Nazani labda wewe uliserve no.ya simu ya Tina ukitegemea yeye ndio atakupigia au sio? lakini usijali utapata vingine mzigo ujao ntahakikisha vinafungwa peke yake ili visije kuuzwa,sasa naomba uniandikie email ili niweze kukutumia picha ya viatu navyo andaa kwa mzigo ujao uchague utakavyopenda sawa mpenzi napenda wateja mfurahi sio kuwa udhi wateja wangu hapana.Karibu sana.
USIJALI nimekuelewa ila sikupata simu yeyote labda walichanganya namba ucjali my email; haminja2@yahoo.com
asante kwa kujali
Post a Comment