Huyu mama tayari wanamlinganisha na mke wa J.F. Kennedy kwa jinsi anavyojua kuvaa. Baada ya miaka mingi kama "watumishi" wa Historia, inafurahisha kama nini kuona kwamba sasa mtu mweusi ndiye yuko katika usukani wa dunia. Japo amechukua madaraka katika wakati mgumu sana, Mungu atamsaidia na atafanikiwa!
Nakwambia huku kaacha gumzo,inafurahisha sana anajua kuvaa na anapendeza kila anachoweka mwili kwake kinamtoa utazani alizaliwa nacho,sasa hivi kibao kimegeuka sasa wazungu wenyewe wanasema eti watu weusi ni wazuri sana kuliko wao weupe,mmmh! sasa ndio wanajua hilo? mbona walikuwa hawasemi kabla?
Huyu mama tayari wanamlinganisha na mke wa J.F. Kennedy kwa jinsi anavyojua kuvaa. Baada ya miaka mingi kama "watumishi" wa Historia, inafurahisha kama nini kuona kwamba sasa mtu mweusi ndiye yuko katika usukani wa dunia. Japo amechukua madaraka katika wakati mgumu sana, Mungu atamsaidia na atafanikiwa!
ReplyDeleteNakwambia huku kaacha gumzo,inafurahisha sana anajua kuvaa na anapendeza kila anachoweka mwili kwake kinamtoa utazani alizaliwa nacho,sasa hivi kibao kimegeuka sasa wazungu wenyewe wanasema eti watu weusi ni wazuri sana kuliko wao weupe,mmmh! sasa ndio wanajua hilo? mbona walikuwa hawasemi kabla?
ReplyDelete