uuuuh inabdidi sasa niolewe!! jamani nguo nzuri hata kwa sisi wakina vipipa?
Sana tena uzuri wake unachagua upendayo,ukitaka kuficha tumbo haya,ukitaka kufunika mabeha haya,ukitaka open market twende kazini....lol.Haya Tweety kazi kwako,lini sasa tuanze kujiandaa?
uuuuh inabdidi sasa niolewe!! jamani nguo nzuri hata kwa sisi wakina vipipa?
ReplyDeleteSana tena uzuri wake unachagua upendayo,ukitaka kuficha tumbo haya,ukitaka kufunika mabeha haya,ukitaka open market twende kazini....lol.
ReplyDeleteHaya Tweety kazi kwako,lini sasa tuanze kujiandaa?